Posted on: August 31st, 2024
Mkuu wa wilaya ya Mafia, Mhe. Aziza Mangosongo ameongoza kikao cha tathmini ya mkataba wa lishe kwa robo ya nne ya mwaka 2023/2024.
Miongoni mwa mambo aliyosisitiza ni uzingatiaji wa utoaji wa ...
Posted on: August 30th, 2024
Wilaya ya Mafia yaadhimisha Siku ya Papa potwe Duniani,leo Agosti 30, 2024.
Madhimisho hayo yamekutanisha viongozi wa Serikali, Taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali yakiwemo, Shirika la Uh...
Posted on: August 28th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo ameitaka Halmashauri kuharakisha mchakato wa kuhamia Ofisi mpya zilizopo eneo la Chicco ili kurahisisha utoaji huduma kwa wananchi.
Mhe. Mangosongo ame...